Mkoa wa Moyen-Comoé
Mkoa wa Moyen-Comoé (kwa Kifaransa: Région du Moyen-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011.
Iko katika Mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 394.741. [1]
Mkoa wa Moyen-Comoé |
|
Mahali pa Mkoa wa Moyen-Comoé katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 6°30′N 3°25′W / 6.500°N 3.417°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 3 |
Mji mkuu | Abengourou |
Eneo | |
- Jumla | 6.900 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 394.741 |
GMT | (UTC+0) |
Kuna tarafa tatu ambazo ni
Makao makuu yako Abengourou.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moyen-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |