Mkoa wa N'zi-Comoé



Mkoa wa N'zi-Comoé (kwa Kifaransa: Région du N'zi-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 633.922. [1]

Mkoa wa N'zi-Comoé
Mahali paMkoa wa N'zi-Comoé
Mahali paMkoa wa N'zi-Comoé
Mahali pa Mkoa wa N'zi-Comoé katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 7°15′N 4°10′W / 7.250°N 4.167°W / 7.250; -4.167
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 8
Mji mkuu Dimbokro
Eneo
 - Jumla 19.480 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 633.922
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa nane ambazo ni

Makao makuu yako Dimbokro.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na