Mkoa wa Ngounié
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
Ngounié ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 37,750.
Mji mkuu wa mkoa huu ni Mouila.
Kwa upande wa kusini-mashariki, Ngounié umepakana na Mkoa wa Niari wa Jamhuri ya Kongo. Kwa upande wa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:
- Nyanga - kusini
- Ogooué-Maritime - magharibi
- Moyen-Ogooué - kaskazini
- Ogooué-Ivindo - kaskazini-mashariki, kwenye pembe nne ya nchi
- Ogooué-Lolo - mashariki
Wilaya
haririMkoa wa Ngounié umegawanyika katika wilaya 7:
- Boumi-Louetsi Department (Mbigou)
- Dola Department (Ndende)
- Douya-Onoy Department (Mouila)
- Louetsi-Wano Department (Lebamba)
- Ndolou Department (Mandji)
- Ogoulou Department (Mimongo)
- Tsamba-Magotsi Department (Fougamou)
Makala hii kuhusu maeneo ya Gabon bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ngounié kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |