Mkoa wa Ogooué-Ivindo

Ogooué-Ivindo ni mkoa uliopo zaidi mjini kaskazini-mashariki mwa mikoa tisa ya Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Makokou, ambamo ni nyumbani mwa theluthi moja ya idadi ya wakazi wa mkoa huu. Mkoa umejipatia jina lake kutoka kwa mito miwili, Ogooué na Ivindo. Mkoa huu ni mkubwa sana, wakazi wachache, na maendeleo duni katika orodha nzima ya mikoa tisa.

  • Eneo: 46,075 km²
  • Kifupisho cha herufi mbili/HASC: GB-OI
  • ISO 3166-2: GB-06
  • Wakazi (1993): 48,862
Mkoa wa Ogooué-Ivindo
Mkoa wa Ogooué-Ivindo

Upande kusini mwa mkoa huu umepita katika Ikweta. Urefu wake unaendea kutoka 11 E hadi 14 E na upana ni 0.35 S hadi 1 N.

Kwa upande wa kaskazini na magharibi, Ogooué-Ivindo imepakana na mkoa wa Sangha na Cuvette-Ouest ambayo ni mikoa ya Jamhuri ya Kongo. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Departments

hariri
 
Departments za Ogooué-Ivindo

Ogooué-Ivindo imegawanyika katika departments 4:

Idadi ya wakazi kwa kihistoria

hariri
Mwaka Wakazi Badiliko Msongamano
1980 61,281 - 1.33/km²
1993 48,862 -12,419/-20.2% 1.06/km²