Mkoa wa Sud-Bandama


Mkoa wa Sud-Bandama (kwa Kifaransa: Région du Sud-Bandama) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 682.021. [1]

Mkoa wa Sud-Bandama
Mahali paMkoa wa Sud-Bandama
Mahali paMkoa wa Sud-Bandama
Mahali pa Mkoa wa Sud-Bandama katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 5°40′N 5°30′W / 5.667°N 5.500°W / 5.667; -5.500
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 4
Mji mkuu Divo
Eneo
 - Jumla 10.727 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 682.021
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa nne ambazo ni

Makao makuu yako Divo.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na