Mkunga
Mkunga ni jina linaloweza kumaanisha:
- Mkunga (samaki), samaki mwenye umbo la nyoka anayeishi maeneo ya baharini na/au maji baridi.
- Mkunga (uzazi), mtaalamu anayewasaidia wanawake wenye mimba wakati wa kujifungua.
- Mkunga (mti), mti ambao majani yake anapendwa sana na tembo
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/05/Sharptail_eel.jpg/220px-Sharptail_eel.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/18/Cambodian_Midwife_Project_%2810678736284%29.jpg/220px-Cambodian_Midwife_Project_%2810678736284%29.jpg)