Mkutano wa nne wa kimataifa wa elimu ya mazingira
Tbilisiplus30 au Mkutano wa kimataifa wa elimu ya mazingira ulifanyika katika kituo cha Ahmedabad, India kati ya Novemba 24, 2007 na Novemba 28, 2007[1].
Mkutano ulikuwa wa nne katika mtiririko wa mikutano ya elimu ya mazingira ulifanyika tangu mkutano wa kimataifa huko Tbilisi (Georgia). Mkutano wa pili uliratibiwa huko Moscow mnamo 1977 na mkutano wa tatu ulifanyika huko Thessaloniki in 1997.
Marejeo
hariri- ↑ India), International Conference on Advanced Computing & Communication Technologies (4th : 2014 : Rohtak,. ACCT 2014 : Fourth International Conference on Advanced Computing and Communication Technologies : proceedings : 8-9 February 2014, Rohtak, Haryana, India. OCLC 880503616.
{{cite book}}
: CS1 maint: extra punctuation (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)