Mkuti ni kata ya Wilaya ya Masasi Mjini katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,881 [1]. wa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,807 waishio humo.[2]

Jina la Mkuti linatokana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wamakua ambaye aliitwa Mwene Mkuti na kuishi eneo ambalo sasa imejengwa ofisi ya CCM.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Masasi Mjini - Mkoa wa Mtwara - Tanzania  

Chanikanguo | Jida | Marika | Matawale | Migongo | Mkomaindo | Mkuti | Mtandi | Mumbaka | Mwenge Mtapika | Napupa | Nyasa | Sululu | Temeke


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkuti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.