Wamakua (jina lao pia huandikwa Wamakhuwa) ni kabila kubwa lenye milioni kadhaa za watu wanaoishi hasa nchini Msumbiji upande wa Kaskazini. Nchini Tanzania kuna Wamakua wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya ya Masasi na Wilaya ya Nanyumbu.

Wamakhuwa

Lugha zao ni aina mbalimbali za Kimakua. Lugha ya Kimakua inayozungumzwa nchini Tanzania ni Kimakhuwa-Meetto.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamakua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.