Mlima Aluto (pia unajulikana kama Alutu) unapatikana katika Bonde la Ufa la Ethiopia kusini mwa mkoa wa Oromia ukiwa na urefu wa mita 2,365 na futi 7,759.

Mlima huu ni mlima wenye Volkano unaopatikana katika nchi ya Ethiopia kati ya Ziwa Langano na Ziwa Ziway katika mitambo ya Langano Geothermal Expansion Gomes [1]

Marejeo

hariri
  1. Addis Fortune. "Aluto-Langano Geothermal Expansion Comes to Life". addisfortune.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-29.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Aluto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.