Mlima Athos
mlima kaskazini mashariki mwa Ugiriki
Mlima Athos unapatikana katika rasi ya Athos iliyopo katika Ugiriki Kaskazini Mashariki na tangu kale (walau mwaka 800) ni mahali pa monasteri za kiume za Kanisa la Kiorthodoksi.
Mlima huo, wenye urefu wa mita 2033 juu ya usawa wa bahari, umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia mwaka 1988.[1]
Tanbihi
hariri- ↑ "Mount Athos". UNESCO World Heritage Convention. United Nations Educational Scientific and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Athos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |