Mlima Enkamuka
(Elekezwa kutoka Mlima Enamuka)
Mlima Enkamuka unapatikana nchini Kenya. Ni kilele cha pili cha mlima Oldoinyo Orok, kaunti ya Kajiado.
Una urefu wa mita 2,308 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Enkamuka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |