Mlima Mitchell ni mlima wa jimbo la North Carolina (Marekani).

Mlima Mitchell

Ndio mrefu zaidi katika milima Apalachi (mita 2,037 juu ya usawa wa bahari).

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Mitchell kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.