Mnara wa Saa wa Arusha
Mnara wa saa wa Arusha umejengwa kuonyesha umuhimu wa kijiografia wa jiji la Arusha.
Mnara wa saa (Clock Tower) uliopo katika kimojawapo kati ya viunga vya jiji hilo unaligawa katikati bara la Afrika kwa umbali. Mgawanyiko huu ni kati ya Jiji la Cairo nchini Misri na jiji la Johannesburg la Afrika Kusini. .
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa Saa wa Arusha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |