Mnara wa taa wa Barns Ness
Mnara wa taa wa Barns Ness uko umbali wa maili 3.1 (kilomita 5) kutoka Dunbar, Uskoti, na ulijengwa na wahandisi ndugu David A. Stevenson na Charles Alexander Stevenson, binamu wa mwandishi wa riwaya Robert Louis Stevenson, kati ya mwaka 1899 na 1901.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Barns Ness Lighthouse". Gazetteer for Scotland. Iliwekwa mnamo 18 Machi 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)