Mnara wa taa wa Ponta Preta

Mnara wa taa uliopo Cape Verde

Mnara wa taa wa Ponta Preta ni mnara wa taa uliopo kaskazini magharibi mwa kisiwa cha Santiago kilichopo nchini Cape Verde. Mnara huo wa taa ulijengwa mnamo mwaka 1889. Mnara huo wa taa uliwekwa kwenye stempu ya Cape Verde mnamo mwaka 2004 kama alama ya stempu hiyo.[1]

Picha hariri

Viungo vya njee hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta Preta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.