Mnara wa taa wa Ponta do Norte
Mnara wa taa nchini Cape Verde
Mnara wa taa wa Ponta Norte ni Mnara wa taa katika eneo la Kaskazini mwa kisiwa cha Sal, nchini Cape Verde. Karibu na eneo la Ponta Norte. Mnara wa taa wa asilia ulikuwa mnara wa chuma wenye urefu wa mita 13, uliojengwa mnamo mwaka 1897. Mnara huu ulibadilishwa na jengo la mawe mnamo mwaka 1940.[1]
Viungo vya nje
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa taa wa Ponta do Norte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |