Wanyamwezi
(Elekezwa kutoka Mnyamwezi)
Wanyamwezi ni kabila la watu wa Tanzania walio wenyeji wa mikoa ya Tabora na Shinyanga.
Lugha yao ni Kinyamwezi.
Vyakula vikuu vya kabila hilo ni ugali, michembe (matobolwa), pamoja na viazi vitamu.
Pengine anaitwa Mnyamwezi mtu yeyote yule mjanjamjanja miongoni mwa vijana, kama vile kijana anayejua kuvaa vizuri, asiyependa kufuatilia mambo ya watu wengine na anayeweza kuwafahamisha wenzie na kuwafanya waelewe juu ya jambo fulani bila ya ukakasi.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanyamwezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |