Mohamed Amin


Mohamed "Mo" Amin (29 Agosti, 1943 - 23 Novemba, 1996) alikuwa mpiga picha maarufu kutoka Kenya. Alijulikana kwa kazi zake kuripoti uhaba wa chakula nchini Ethiopia miaka ya 1983–85.[1]

Mohamed Amin
Amezaliwa29 Agosti 1943(1943-08-29)
Amekufa23 Novemba 1996 (umri 53)
Komori
UtaifaMkenya
Kazi yakeMpiga picha na mwandishi wa habari

ReferencesEdit

  1. http://www.moforce.com/moamin.html


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.