Mohamed Gharib Bilal

Mohamed Gharib Bilal (alizaliwa 1945) ni mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2005[1]. Tangu mwaka 2010 hadi mwaka 2015 alikuwa makamu wa rais wa Tanzania.

Mohamedi Gharib Bilal

Bilal ni mtaalamu wa masuala ya sayansi ya nyuklia.

Marejeo hariri

  1. Political Leaders:Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-25. Iliwekwa mnamo 2021-02-18.