Mohamed Habib Juma Mnyaa

Mohamed Habib Juma Mnyaa (amezaliwa 2 Desemba, 1955) ni mbunge wa jimbo la Mkanyageni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mohamed Habib Juma Mnyaa". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.