Mohamed Yusuf Haji
Mohamed Yusuf Haji (kwaKisomali: Maxmed Yuusuf Xaaji; 23 Desemba 1940 - 15 Februari 2021) alikuwa mwanasiasa wa Kenya. Pia alikuwa waziri wa ulinzi wa Kenya kuanzia 2008 hadi 2013, na alihudumu kwa muda mfupi kama kaimu waziri wa usalama wa ndani na masuala ya kieneo mnamo 2012.[1]
Marejeo
hariri- ↑ The Weekly Review. Stellascope Limited. 1997. uk. 200. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2014.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |