Muhammed Seif Khatib

(Elekezwa kutoka Mohammed Khatib)

Muhammed Seif Khatib (10 Januari 1951 - 2021) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Alipata kuwa waziri kupitia chama cha kisiasa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Pia alikuwa mwandishi wa vitabu vya fasihi ya Kiswahili.

Miongoni mwa kazi zake alizoziandika ni kama vile diwani ya Wasakatonge.

Chanzo

hariri

[1]

Tanbihi

hariri