Mona (Puerto Rico)
Mona (Puerto Rico) ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico. Ni mali ya Marekani.
Kina eneo la kilometa mraba 78 na hakina wakazi.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mona (Puerto Rico) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |