Montpellier
Montpellier ndio mji mkuu wa mkoa wa Languedoc-Roussillon, kusini mwa Ufaransa.
Montpellier | |
Mahali pa mji wa Montpellier katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°36′43″N 3°52′38″E / 43.61194°N 3.87722°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Languedoc-Roussillon |
Wilaya | Hérault |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 251,634 |
Tovuti: www.montpellier.fr |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 530,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 27 juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
hariri- (Kifaransa) Site officiel de la ville de Montpellier
- (Kifaransa) Site officiel de la communauté d'agglomération
- (Kiingereza)(Kifaransa) A visitor in Montpellier – from The Official Francis Hannaway Website
- (Kiingereza) Montpellier and the South of France (Muslimheritage.com)
- (Kifaransa) People of Montpellier Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Catholic Encyclopedia Montpellier
- Montpellier travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Montpellier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |