Morgan Freeman
Morgan Freeman (amezaliwa 1 Juni 1937) ni mshindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mwigizaji, mwongozaji na mtunzi bora wa filamu. Morgan alikuja kufahamika zaidi kuanzia miaka ya 1990, baada ya kuonekana katika mfululizo wa filamu zenye mafanikio huko Hollywood.
Morgan Freeman | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Morgan Porterfield Freeman Jr. |
Alizaliwa | 1 Juni 1937, Memphis, Tennessee, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji, Mowngozaji, Mtunzi |
Miaka ya kazi | 1964-hadi leo |
Ndoa | Jeanette Adair Bradshaw (1967-1979)
Myrna Colley-Lee (1984-2010) |
Watoto | 4 |
Filamu alizoigiza Morgan
hariri- The Electric Company
- Roll of Thunder, Hear My Cry
- Brubaker
- The Marva Collins Story
- Teachers
- Marie
- That Was Then... This Is Now
- Street Smart
- Fight for Life
- Glory
- Driving Miss Daisy
- Lean on Me
- The Bonfire of the Vanities
- Robin Hood: Prince of Thieves
- Unforgiven
- The Power of One
- Bopha, mwongozaji tu.
- The Shawshank Redemption
- Se7en
- Outbreak
- Chain Reaction
- Moll Flanders
- Amistad
- Kiss the Girls
- Deep Impact
- Hard Rain
- Nurse Betty
- Under Suspicion
- Along Came a Spider
- The Sum of All Fears
- High Crimes
- Bruce Almighty
- Dreamcatcher
- Million Dollar Baby
- The Hunting of the President
- The Big Bounce
- An Unfinished Life
- War of the Worlds
- March of the Penguins
- Batman Begins
- Danny the Dog
- Edison Force
- The Contract
- Lucky Number Slevin
- 10 Items or Less
- Evan Almighty
- The Feast of Love
- Gone, Baby, Gone
- The Bucket List
- Wanted
- The Dark Knight
- The Code
- The Lonely Maiden
- Rendezvous With Rama
- The Human Factor
- The Last Full Measure
Tuzo
hariri- Academy Awards.
- Crystal Globe award for.
- Karlovy Vary International Film Festival.
- Cairo International Film Festival.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Morgan Freeman at the Internet Movie Database
- ClickStar headed by Morgan Freeman and Lori McCreary
- Morgan Freeman Ilihifadhiwa 8 Januari 2020 kwenye Wayback Machine. katika All Movie Guide
- Revelations Entertainment Production company co-founded by Freeman
- A detailed biography of his history as an actor Ilihifadhiwa 17 Februari 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Morgan Freeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |