Moro Lamine

mchezaji wa Soka

Moro Lamine (amezaliwa 13 Februari 1994 katika jiji la Accra nchini Ghana) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza katika klabu ya Yanga iliyopo ligi kuu nchini Tanzania.

Alianza safari yake huko Ghana na mnamo mwaka 2019 alijiunga katika klabu ya Yanga, kabla hajajiunga Yanga alipitia klabu nyingi zikiwemo, Sekondi Hasaacas, Buildcon, na nyingine nyingi, ameshawahi kuchezea timu ya taifa ya vijana (umri chini ya miaka 20). Lakini hivi sasa team yake haijawekwa wazi japokua kuna tetesi za kurud young africans ya Tanzania


Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moro Lamine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.