Morotai ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Halmahera. Eneo la kisiwa ni 1800 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Daruba. Mwaka wa 2007 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 54876. Watu wakaao kisiwani kwa Morotai huongea hasa Kigalela.

Picha ya ramani Morotai
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.