Kigalela ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagalela kwenye visiwa vya Halmahera, Morotai, Gunage, Moari, Bacan, Obi, Kasiratua, Mandioli na Labutia. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigalela imehesabiwa kuwa watu 79,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigalela iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigalela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.