Moroto ni makao makuu ya Wilaya ya Moroto nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 16,300 (2020).

Jiji la Moroto
Jiji la Moroto is located in Uganda
Jiji la Moroto
Jiji la Moroto

Mahali pa mji wa Moroto katika Uganda

Majiranukta: 02°31′48″N 34°40′12″E / 2.53000°N 34.67000°E / 2.53000; 34.67000
Nchi Uganda
Mkoa Kaskazini
Wilaya Moroto
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 10,300
Picha ya angani ya mji wa Moroto kutoka Mlima Moroto.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: