Mlima Moroto ni mlima wa Uganda (Afrika Mashariki).

Mlima Moroto ukionekana kwa mbali.

Urefu wake unafikia mita 3,083 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.