Moruroa
Moruroa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Tureia. Eneo la kisiwa ni 15 km². Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Moruroa, sababu yake kwamba kati ya 1966 na 1996, Wafaransa walitumia kisiwa cha Moruroa kama mahali pa jaribio kwa bomu la nyuklia.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|