Uwanja wa michezo Moses Mabhida

Uwanja wa michezo uliopo Durban, Afrika Kusini
(Elekezwa kutoka Moses Mabhida Stadium)

Uwanja wa michezo Moses Mabhida ni uwanja wa soka unapatikana Durban, KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini, uliopewa jina la Moses Mabhida, Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Kikomunisti cha Afrika Kusini. Ni uwanja wa matumizi mengi. Uwanja huo unatumika kwa ajili ya hafla kadhaa, kama kuruka kwa bungee, matamasha, kriketi, mpira wa miguu, mazoezi ya gofu na mengine mengi.[1]

Ulikuwa ni moja ya viwanja vya michezo vilivyotumiwa kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFAmnamo mwaka 2010. Uwanja una uwezo wa kuingiza watu 55,500 na ulipanuliwa hadi 75,000.[2] uwanja huu upo karibu na uwanja wa Kings Park.[3].

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
  2. "FIFA.com - Durban Stadium: the stadiums for the 2010 FIFA World Cup South Africa". 2010-12-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-12. Iliwekwa mnamo 2018-12-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20101212214208/https://www.fifa.com/worldcup/archive/southafrica2010/destination/stadiums/stadium= ignored (help)
  3. "Stadium Tours". Moses Mabhida Stadium. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-23. Iliwekwa mnamo 2020-05-25.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Moses Mabhida kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.