Mlima Wilhelm

(Elekezwa kutoka Mount Wilhelm)

Mlima Wilhelm (kwa Kiing. Mount Wilhelm) ni mlima mrefu kuliko yote ya Papua Guinea Mpya, ukiwa na kimo cha mita 4,509 juu ya usawa wa bahari. Baadhi wanauhesabu kuwa wa kwanza katika bara la Oceania kwa vile kisiwa cha Guinea Mpya kimegawanyika: upande wa Magharibi ni sehemu ya bara la Asia (Indonesia), na upande wa Mashariki ni sehemu ya bara la Oceania.

Mlima Wilhelm (Mount Wilhelm)

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.