Moustapha Diaw (alizaliwa Nouakchott, Mauritania, 31 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Mauritania.

Kwa sasa anacheza katika klabu ya ASAC Concorde ya Ligue 1 huko Mauritania na ni mchezaji wa timu ya taifa ya Mauritania.

Fanja SC hariri

Alicheza katika klabu ya Fanja SC kwa miezi minne, Diaw aliinua klabu hiyo mwaka 2015-16 iliyopo Oman Professional League.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moustapha Diaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.