Msikiti wa Omar Ibn al-Khattab
Msikiti wa Omar Ibn al-Khattab (kwa Kihispania: Mezquita de Omar Ibn Al-Jattab) ni msikiti mashuhuri mjini Maicao (La Guajira) katika nchi ya Kolombia.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- La mezquita de Maicao (Colombia) cumple diez años, 16 septemba 2007
- Foto Panoramio Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine.
Makala kuhusu msikiti au sehemu nyingine za kuabudia Waislamu bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |