Msikiti wa Taifa wa Abuja

Msikiti wa Taifa wa Abuja, pia unajulikana kama Msikiti wa Taifa wa Nigeria, ni msikiti mkubwa wa taifa nchini Nigeria, nchi yenye Waislamu wengi walio thabiti barani Afrika.

Msikiti wa Taifa wa Abuja

Msikiti huo ulijengwa mnamo mwaka wa 1984[1] na u wazi hata kwa umma ambao si Waislamu, kasoro katika sala za masheha tu.

Ustadhi Musa Mohammed ndiye imamu mkuu katika msikiti huu.[2]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Abuja National Mosque. ArchNet. Massachusetts Institute of Technology. Jalada kutoka ya awali juu ya 2005-03-26. Iliwekwa mnamo 2007-08-08.
  2. Ozoemena, Charles. "Sallah: Obasanjo hosts Atiku, others", Vanguard online, Vanguard Media Limited, 2005-11-03. Retrieved on 2007-08-08. Archived from the original on 2007-10-09. 

Viungo vya Nje hariri

 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: