Msimbo chanzo

Katika utarakilishi, msimbo chanzo (kwa Kiingereza: source code au source file) ni waraka unamoandikwa msimbo wa programu kwenye lugha ya programu. Msimbo chanzo unatumiwa na wanaprogramu ili kuumba programu ya tarakilishi.

Msimbo chanzo kwa kuchapa "Jambo ulimwengu" kwenye Python.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).