Mstroberi
Mstroberi (Fragaria x ananassa) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mstroberi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mstroberi (Fragaria x ananassa) ni mmea mdogo wa familia Rosaceae unaotoa matunda mekundu (stroberi). Maua ni meupe. Mmea huu ni mvyauso kati ya Fragaria chiloensis na F. virginiana na kwa hivyo unatoa matunda makubwa zaidi.
Mistroberi hukuzwa sana katika kanda za tabianchi wastani na za nusutropiki na pia katika ukanda wa tropiki wakati wa majira ya baridi au milimani. Stroberi hupendwa sana kwa ajili ya ladha yao maalum tamu.
Picha
hariri-
Majani
-
Ua
-
Stroberi mbichi
-
Stroberi bivu
-
Stroberi sokoni
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mstroberi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |