Magofu ya Msuka Mjini

(Elekezwa kutoka Msuka Mjini Ruins)

Magofu ya Msuka Mjini (Mji wa Kale wa Msuka Mjini) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba nchini Tanzania.

Gofu la msikiti.

Msuka Mjini ina msikiti wa Waswahili tokea karne ya 15 uliohifadhiwa katika magofu kwenye peninsula ya Kigomasha kisiwani humo. Tarehe ya 816AH (1414 CE) imechongwa sehemu ya ndani ya duara ya mirhabu.[1][2][3][4]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Zanzibar Historical Sites - Saving Tour" (kwa American English). 2020-04-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-21. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-07-25. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
  3. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. ISSN 0361-7882.
  4. Schacht, J. (1957). "An Unknown Type of Minbar and Its Historical Significance". Ars Orientalis. 2: 149–173. ISSN 0571-1371.