Mtandao pepe binafsi

Katika utarakilishi, mtandao pepe binafsi (kifupi: MPB; kwa Kiingereza: virtual private network) ni mtandao unaouzwa na mtoa huduma za tovuti. Kwa kweli, mtandao pepe binafsi unatumika ili kutumia mtandao kwa kuficha anuani IP ya mtumiaji.

Mtandao pepe binafsi kwa OpenVPN.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)