Mtaro wa Kazinga
Mtaro wa Kazinga unapatikana katika wilaya ya Kasese, nchini Uganda.
Ni mtaro asilia wenye urefu wa kilometa 32 unaounganisha ziwa Dweru na ziwa Edward. Kutoka huko maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mtaro wa Kazinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |