Wilaya ya Kasese
Wilaya ya Kasese ni wilaya iliyoko katika Mkoa wa Magharibi, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 649,400.
Wilaya ya Kasese | |
Mahali pa Wilaya ya Kasese katika Uganda | |
Majiranukta: 00°11′S 30°05′E / 0.183°S 30.083°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Kasese |
Eneo | |
- Jumla | 2,724 km² |
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 649,400 |
Tovuti: http://www.kasese.go.ug |
Wilaya ya Kasese iko katika ukanda wa ikweta. Inapakana na Wilaya ya Kabarole upande wa kaskazini, Wilaya ya Kamwenge upande wa mashariki, Wilaya ya Rubirizi upande wa kusini, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.
Makao makuu ya wilaya yako Kasese, wastani wa km 359 kwa barabara, magharibi mwa Kampala, mji mkuu na mji mkubwa zaidi nchini Uganda.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Road Distance Between Kampala And Kasese With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririTazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kasese kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |