Mto Akwayafe (pia unafahamika kama Mto Akpakorum) ni mto nchini Nigeria barani Afrika ambao humwaga maji yake katika Ghuba ya Guinea.

Mto huo ni sehemu ya mpaka kati ya nchi ya Kamerun na Nigeria.[1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Akwayafe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.