Aldan

(Elekezwa kutoka Mto Aldan)

Aldan ni mto wa Urusi wenye urefu wa kilometa 2,273.

Njia ya mto Aldan nchini Urusi

Aldan ni tawimto la Lena katika Yakutia (Siberia ya Mashariki). Beseni lake ni eneo la km² 729,000. Inaweza kutumiwa na meli kwa urefu wa kilomita 1600.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aldan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.