Ramani ya beseni la mto Atbara.

Mto Balagas unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangiwa na mto Balessa na mto Dorana.

Ni tawimto la mto Tekeze ambao unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Balagas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.