Mto Baro
Mto Baro unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia, mpakani mwa Sudan Kusini.
Unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, ambao maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Baro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |