Mto Pibor unapatikana mashariki mwa Sudan Kusini, mpakani mwa Ethiopia.

Beseni la Mto Sobat.

Unaungana na mto Baro kuunda mto Sobat, ambao maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Pibor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.