Mto Doring ni mto wa jimbo la Western Cape, Afrika Kusini.

Mto Doring

Chanzo cha mto huu ni kaskazini mashariki kwa Ceres. Unaungana na mto Olifants.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Doring kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.