Mto Dukoko unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangia mto Zarima ambao ni tawimto la mto Tekeze ambao tena unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Ramani ya beseni la mto Atbara.
Ramani ya beseni la mto Atbara.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Dukoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.